Zoezi la kutafuta washiriki wa Epiq BSS mkoani Dodoma lilianza kwa baadhi ya watu akiwemo Madam Rita kuchangia damu. |
Mmoja wa washiriki wa Epiq BSS akiwa anafanya mazoezi kabla ya kuingia kwenye auditions. |
Baadhi ya washiriki ya EBSS mkoani Dodoma wakijiandaa kuingia kwenye auditions |
Majaji Salama Jay, Master Jay and Madam Rita |
Mshiriki kwenye mbele ya majaji |
Winner Lucas mwanafunzi wa UDOMaliwashangaza wengi kwa uwezo mkubwa wa kurap. |
huyo winner ni kwere tangu skul cz ana vpaj vng sana so kaza buti mama wanga wapotezee cz nakujua wew ni mjesh kamili
ReplyDeletedah naish nae kitaa ukimwona huwez kudhani anawaza mambo hayo coz utadhani hayupo vile but kumbe ni kwere arifu. Kweli ana vipaji vingi vingm
Delete