Search This Blog

Saturday, May 12, 2012

UDAMBWIDAMBWI KWA HISANI YA KAKA Adam Fungamwango


BABA yake mzazi Aunt Ezekiel!! MCHEZAJI huyu anaitwa Ezekiel Grayson Jujuman! Aliichezea Yanga mwaka mmoja baadaye Simba miaka kibao kuanzia miaka 70 hadi mwanzoni mwa miaka ya 80 hadi anastaafu soka! Sasa ni marehemu na atakumbukwa na wapenzi wa Simba kwa uwezo wake mkubwa wa kusakata kambumbu na chenga za maudhi akiufanya mpira anavyotaka kiasi cha mashabiki kumpachika jina la Jujuman yaani mchawi! Huyu ndiye baba yake mzazi Aunt Ezekiel mwigizaji wa filamu maarufu nchini!!!!
 
DU!!! Kuna mtu leo kaniletea gazeti hili la mechi ya 6-0 mwaka 1977! Juu kushoto ni Ezekiel Grayson Jujuman, Charles Mwanga na Abdallah Kibaden King aliyefunga mabao matatu 'hat trick' siku hiyo! Chini kushoto ni Omari Mahadhi, Sam Kampambe na Said Dilunga!!

1 comment: