Search This Blog

Friday, May 4, 2012

BREAKING NEWS: AZAM YAPIGWA 2-1 NA MTIBWA - SIMBAAAAAA MABINGWA WAPYA WA VPL


Wekundu wa msimbazi Simba SC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom 2011/2012,
Simba imefanikiwa kutwaa ubingwa huo baada ya hii leo Mtibwa Sugar kuifunga Azam Fc mabao 2-1 kwenye mchezo ulioamuliwa kurudiwa hivi karibuni.
kufungwa huko kwa AZAM kunamaanisha hata wakishinda mchezo mmoja uliobakiwa hawataweza kuzifikia pointi 59 za SIMBA,kwasasa Azam wana pointi 53 ambazo zinawahahakishia kumaliza nafasi ya pili na kujipatia nafasi ya msimu ujao kushiriki kwenye kombe la shirikisho barani Afrika. 

10 comments:

  1. Congratulatn simba sports club they deserve it.

    ReplyDelete
  2. Baaaaasi...thats whatsup,SIMBA NDO BABA LAO MWAKA HUU....lakn bnafs cjapendzwa na maamuz ya kamati ya mr Tibakuigana! Ni kama wameionea Azam Fc

    ReplyDelete
  3. yessssssssssssss aungurumapo simba mcheza nani biashara maghorofani imekufa nchunga kabidhi timu deal imeingi doa

    ReplyDelete
  4. safi sana simba ,,,

    ReplyDelete
  5. Mi sishangilii kwanza mpk 2wapige Yanga!!
    Viva Simba a.k.a Mnyamaa!!
    Clens

    ReplyDelete
  6. Hongera wekundu wa msimbazi kwa ubingwa lakini Hongera pia kwa Azam kwa kushika nafasi ya pili natumai mtatuwakilisha vema kimataifa.
    Mdau
    Mike

    ReplyDelete
  7. Big up simba kwakutwaa ubingwa msiwe kama Azam wanaua soka letu kibongo kwa hongooo

    ReplyDelete
  8. Imeniuma sana azam wameonewa tu!!! Halaa Azam

    ReplyDelete
  9. Azam wamefanikisha mipango mizuri, wenzangu wa Kipawa wanaona hatari na kuanza kuwakashifu eti wananunua waamuzi. Tukubali Azam wako vizuri no zengwe.

    ReplyDelete
  10. That is why i like Simba.

    ReplyDelete