Search This Blog

Friday, May 11, 2012

KIMENUKA YANGA: WANACHAMA WAFANYA VURUGU MAKAO MAKUU - POLISI WAPAMBANA NAO

 Baadhi ya wanachama wa Yanga wakifanya fujo klabuni hapo kupinga mkutano wa waandishi wa habari uliokuwa ufanywe na mwenyekiti wa klabu hiyo Bw. Loyd Nchunga leo mchana ambapo polisi walifika klabuni hapo na kuimarisha ulinzi.
 Mmoja wa askari akimuondoa mmoja wa wanachama wa klabu hiyo katika eneo lililokuwa na vurugu klabuni hapo.
 Polisi wakiwa katika magari yao tayari kabisa kuzuia vurugu endapo zingezuka klabuni hapo.
Moja wa magari ya polisi likiwa limeegeshwa nje ya klabu hiyo kwa ajili ya kulinda usalama klabuni hapo leo mchana.





1 comment:

  1. Mimi naamini hawa ni wahuni tu tena ukisema uwakague ni wangapi wana kadi halali za uanachama wa yanga ndio utashangaa, wao kama hawawataki viongozi kwanini wasisubiri mkutano mkuu huo ujao wawaondoe, waliwaweka kikatiba na wawaondoe kikatiba sio kuleta mambo ya kihuni klabuni.
    Hao wapinzani wa Nchunga kama kweli wanaitaka timu ya yanga mbona njia ni rahisi wawahamasishe hao wanachama kupiga kura ya kutokuwa na imani na oungozi wa Nchunga maamuzi ambayo yatamuondoa Nchunga madarakani tena kistaarabu kabisa kwani wanatumia njia za kihuni.
    Hii miklabu ya Simba na Yanga imejaa wahuni tupu, wanaacha kukaa chini kuweka mipango ya klabu zao kuwa na viwanja vyao wenyewe wanakalia majungu na fitina. To hell with Simba and Yanga.
    Mdau
    Mike

    ReplyDelete