Kituo cha Televison cha Televisa wamejaribu kuwaleta pamoja kocha Real Madrid Jose Mourinho na Pep Guardiola.
El Mundo Deportivo limesema Televisa wametoa ofa kwa Mourinho na kocha wa zamani a Barcelona Guardiola ya kiasi cha €1.5 million kwa kila mmoja ili kuweza kushea meza na kufanya uchambuzi wa soka kwenye michuano ya Euro 2012.
Ingawa, Mourinho bado hajatoa majibu kama amekubali au hapana, Guardiola yeye amekataa kabisa, akisistiza anataka kupumzika kabisa kutoka kwenye soka baada ya kuondoka Barca wiki hii.

Wakati wote wakiwa Barcelona Mourinho kama kocha na Guardiola kama mchezaji. |
Watu maarufu maarufu ambao wameshawahi kufanya kazi na Televisa ni Luis Figo, Zinedine Zidane na Fernando Morientes.
No comments:
Post a Comment