Search This Blog

Thursday, May 3, 2012

GEORGE ' Blackberry ' ODHIAMBO ATUA AZAM FC

                 HAPA NIKIWA NA Blackberry
       Mzigo mzima ndani ya Sports Bar ya Clouds TV
siku ya jumatatu....

Mshambuliaji raia wa Kenya, George Odhiambo maarufu kama Blackberry leo hii ameanza mazoezi na kikosi cha timu ya Azam.
Mshambuliaji huyo wa zamani wa Gor Mahia alikua mwanansoka bora chipukizi nchini kenya mnamo mwaka 2008 na mwaka 2010 alichaguliwa kuwa mwanansoka bora wa mwaka wa Kenya,
Kabla ya kujiunga na Azam kwa majaribio,Odhiambo alikua anaichezea timu ya RANDERS ya nchini Denmark ,
wakati nikizungumza nae hii leo amesema kwasasa yupo huru kujiunga na timu yoyote baada ya kukatisha mkataba na timu ya Randers.


Personal information
Full name
George Odhiambo Ogutu
Date of birth
(1992-12-31) December 31, 1992 (age 19)
Place of birth
Height
1.75 m (5 ft 9 in)
Playing position
Winger, Forward
Club information
Current club
Number
18
Senior career*
Years
Team
Apps
(Gls)
2009-2011
46
(18)
2011-
2
(0)
National team
2011-
16
(4)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 18 May 2011.
† Appearances (Goals).
‡ National team caps and goals correct as of 4 March 2011

3 comments:

  1. Jamaa anaonekana anajua, walau azam wasajili tena vizuri ili kuongeza ushindani katika ligi na vile mwakani wanakwea Pipa kimataifa atawaongezea nguvu.
    Mdau
    Mike

    ReplyDelete
  2. nikama mrisho ngaza ila huyu jamaa anajua zaidi

    ReplyDelete
  3. Mimi nilimuona Mechi moja Harambee ilikuwa inacheza Kwa kweli ni kijana mzuri atawafaa sana Azam. Lakini nasisitiza Azam wajitahidi kuepuka Siasa za Usimba na Uyanga itawasaidia sana. Waepuke pia kukimbilia Kuajiri viongozi wenye fikra au siasa za Usimba na Uyanga!

    ReplyDelete