Search This Blog

Friday, May 11, 2012

CHEMSHA BONGO! TOFAUTISHA HIZI PICHA !

Zitofautishe hizi picha za mchezaji Javier Zanetti zikiwa ktk taswila mbali mbali tangia akiwa na umri wa miaka 17 mpaka leo hii akiwa na miaka 38.

1 comment:

  1. Mi ninachokiona kikubwa, ni shingo tu za jezi zimebadilika muundo hapo.

    ReplyDelete