Search This Blog

Friday, May 11, 2012

AC MILAN YAZIDI KUKIMBIWA NA MASTAA WAKE: BAADA YA NESTA JANA - LEO GATTUSO KUONDOKA MWISHO WA MSIMU

Siku moja baada ya Alessandro Nesta kutangaza kwamba ataondoka AC Milan mwishoni mwa msimu leo hii kiungo wa kutumainiwa wa ukabaji wa klabu hiyo Gennaro Gattuso nae  ametangaza ataondoka San Siro mwishoni mwa msimu.


Gattuso ambaye alijiunga na AC Milan mwaka 1999, amefanikiwa kuichezea timu hiyo mechi 463 na kufunga mabao 11 - huku akitwaa makombe mawili ya Seria A, Coppa Italia 1, Supercopa Italia 2, UEFA Champions league 2, UEFA Super Cup 2, FIFA Club World Cup 1.

No comments:

Post a Comment