Nakupa moyo homeboy, hiyo ndio bei ya u star. Watakusifia saana siku ukifa. Ila kwa sasa fahamu kwamba wanakupenda ila wanachukia kwanini wanakupenda Jikaze tu uendeleze hili duru
Tatizo la Tanzania "macelebrity" hawajui kuwapenda fans zao. Yaani wanachukia at the same time wanataka wawasupport.. Learn from the best... Fans ndio wanaowaweka hapo ulipo iwe wanakuchukia au kukupenda...

ReplyDelete