![]() |
Pep Guardiola akiagwa na Raisi wa Barcelona Sandro Rosell |
![]() |
Huyu ndio mrithi wake ambaye kwa sasa ndio kocha msaidizi wa Barca - Tito Vilanova |
![]() |
"Nakuachia jahazi hili dogo liendeshe vizuri" |
![]() |
Majembe Xavi na Carles Puyol walikuwepo katika mkutano wa kutangaza kuondoka kwa Guardiola- hapa wakiwa wanaagana nae. |
![]() |
Asante sana kijana kwa yote uliyotufanyia. |
No comments:
Post a Comment