Search This Blog

Sunday, April 8, 2012

BREAKING NEWSSSS: KANUMBA KUZIKWA MAKABURI YA KINONDONI JUMANNE- MAMA MZAZI ATOA MAAMUZI

Masaa machache baada ya mama mzazi wa Kanumba kufika Dar es Salaam akitokea kwao Bukoba amesema kwamba amekubaliana na maombi ya wapenzi wa mwanae na wanabongo movie kwamba mwanae azikwe hapa hapa Dar.

Hivyo Kanumba atazikwa makaburi ya kinondoni na ataagwa siku ya jumanne katika viwanja vya leaders kinondoni.

No comments:

Post a Comment