Search This Blog

Friday, March 16, 2012

WEZI WAINGIA CHUMBA CHA KUIFADHIA MAKOMBE UWANJA WA EMIRATES - WATOKA KAPA.

Source: Sky Sports.

3 comments:

  1. kaka shafii unajua hii dunia maajabu hayatawai kuisha....sasa timu yetu hii haina makombe hata ngao sijui hawa wezi walienda kufanya nini.......sometimes kumbe wizi nao ni kipaji aisee.....mimi nadhani kwa mtazamo wangu hao wezi walikuwa katika mafunzo ya vitendo(field work)....kujiandaa kuelekea OLD TRAFFORD......spuna.

    ReplyDelete
  2. Kweli walipotea njia hata lile kombe la Emirates halipo tena mwaka jana hawakulichukua.

    ReplyDelete
  3. Technology inakufanya uamini kitu ambacho sio hata cha ukweli kiwe cha ukweli,hiyo yote ni kazi ya photoshop,mimi ni shabiki wa arsenal nimekwenda emirates zaidi ya mara tatu kuangalia mechi na stadium tour ambayo pia inajumuisha museum tour i guarantee you kuna vikombe lakini sio vingi kama nilivyoviona old trafford museum.

    ReplyDelete