Changes starts at home!!! niliacha kuja na watoto Uwanja wa Taifa baada ya watoto kuniuliza tafsiri ya Matusi waliosikia!! last weekend nikaja nao, habari kubwa iliyokichwani mwao na wanahadithia ni jinsi mchezo ulivyosimama baada ya chupa kutupwa uwanjani na kumkosa referee!! Ni muda mrefu sana haya yamekuwa yakitokea sio katika game hizi mbili au msimu huu tu, naamini wote mnajua!! Ninachojua mimi ni kuwa asilimia tisini ya washabiki wa kikapu kwa sasa ni wachezaji katika timu zetu na tunajuana sana. Cha ajabu ni kuwa tunaoneana aibu na ushikaji kwa sana! Matokeo yake lawama tunawapelekea BD wakati wachawi tunaishi nao vyumbani!!! Ni kweli kuna mapungufu katika officiating, lakini Matusi mchezaji anapofunga kikapu ni ya nini? Ni wapi umeambiwa referee akichemka apigwe?Je akishapigwa ndo tumesolve tatizo? nafikiri cha muhimu ni kuangalia utaratibu wa ku-monitor viwango nya refs wetu ambao kwa sasa sidhani kama wanafika 12!!(tatizo pia) Kuna Refs comission ambayo ndo jukumu lao kubwa. Nawaomba sana tusaidiane kurekebisha mambo ktk kikapu la sivyo hao sponsors itaendelea kuwa hadithi na kila mtu atajifanya msafi na kutupa lawama kwa wengine!! tuwasaidie viongozi wetu kwa vitendo zaidi ya mawazo!!!!
Amina AhmedUsemayo kocha ni kweli,wa kwanza wanaotakiwa kuhusika na mashabiki wa aina hyo ni timu yenyewe,ila pia naweza sema BD kwa upande mwingine wanalaumiwa coz wao wanawajua mashabiki wa timu fulan hua na fujo na matuc na hawaweki ulinzi hadi wak...ishafanya kitu cha ajabu ndo wanahangaika kuita askari...lakini juzi mi niliandika kwenye wall ya BD kuwa kwa game ya VBC vs chang waweke ulinzi maana lazima wafanye fujo wakizidiwa,na walishasema kuwa game yao vs VBC haitaisha lazima ivunjike...tatizo BD nao wanadharau hivi vitu,sponsor hawezi kupatikana kwa style hii,mtazamo wangu.
Game kati ya vijana na Chang'ombe ilisimamishwa katika Quarter ya 3 kamasijakosea. VIJANA wakiongoza kwa 15 point kama sjakosea.Hii game ilisimamishwa na kutoendelea baada ya shabiki kutupa na kuvunja Chupa ya Beer uwanjani.Na mie nimeona hiyo kusimamishwa ni sawa kwani kama ingekuwa watu wanacheza sindiyo tungekuwa tunaongelea mengine sasa hivi.kha..haya game ya Jmosi kati ya Savio na ABC nayo, wapi ABC kutaka kumpiga refaree just kwakile walicho dai bad calls.Jamani DAR ES SALAAM BASKETBALL tuwekeeni polisi na kama inashindikana kulinda Wachezaji,Waamuzi na Mashabiki basi tusicheze league.
Hivi ni sponsor gani atakubali kutoa mahela yake kwa watu wasio na nidhamu?.
Nalingine Mashabiki wanaokuja kuangalia basketball pale uwanjani hamjui kuwa wale ni potential sponsors,sasa kama shabiki anakuwa anaogopa kuja angalia hizo game kweli basketball tutapata sponsor au kukuza vipaji vingine vipya.mzazi gani atataka mtoto wake acheze mchezo wenye wahuni?
Jamani wadau wote Wanakamisaa,Wachezaji,Waendesha vilabu,Mashabiki na wengineo.Tujaribu kuwa wastarabu tuludishe hadhi ya basketball katika ramani ya Tanzania na Dar es Salaam.
Just play. Have fun. Enjoy the game. Michael Jordan
Just play. Have fun. Enjoy the game. Michael Jordan
Bainasi Wamunza and 4 others like this.
Alphonce Kusekwa Nikweli kaka,ushauri kwa viongozi,inasemekana police walichelewa kuja je haiwezekani wakaomba askari jeshi wa chache kila game?tena tumezungukwa na vikosi kadhaa pale,pls usalama wa mashabiki na wachezaji na marefa ni muhim sana coz pale nisehem ya furaha na amani na inajulikana kua baadha huchafua kidogo aman so lazima hatua madhubuti zichukuliwe kukomesha mazoea yasio mazuri.work on it BD
Abbas Abbas Wakwanza MM NAONA UONGOZI HAUPO MAKINI 1 REFAA, ANAPOTUMIA UWANJA KAMA SEHEMU YA KULIPIZA,NA UBAYA ZAIDI ANASEMA [MM TIMU FULANI SIIPENDI],2 UONGOZI UNASUBIRI MPAKA FUJO ZITOKEE NDIO WAITE ASKARI, DADA BAINASI HAKUNA WATU WASTAARABU KAMA WACHEZA BASKET BALL KUAANZIA BAVAZI,NK. 19 hours ago · ·
1
Bainasi Wamunza @Alphonce..that's right brothe BD wafikirie kwa kina.
@Abbas ni kweli sifa ya wanabasketball ilkikuwaga wastaarabu...ila naona imebadirika..so yah
@Steve ndiyo maana inaitwa timu ya ABC na sio timu ya steve au dulla.So ABC ni ABC
Gilbert Batungi Alphonce alichoandika macho ndivyo kilivyo hucpindishe na kama ulikua hujui bac ndio ivyo naomba uwe balozi wa wengine ambao hawajui kama ww kuwaelewesha ili wajue wacje ongea vitu wacvyovijua.bainac izi lawama zote unahic malefaree hawauck...i kupewa shutuma coz hujawazungumzia kabisa nahic utakua unapewa matokeo tu kwenye game huji maadam ungekua unakuja ungeona uozo wa awa mabwana na mm naona ndio chanzo cha yote aya nia ayo tu Alphonce na BaiSee More
Dulla Kafashe Sasa Gilbert na Steve Macho, naamini mko sawa kwa asilimia mia moja, kazi yenu ni kulinda mipaka, na ndani ya mipaka hakuna watu kuna mabox thats why hamuwezi kulinda usalama wa raia- sasa mjini mnafanya nini? hebu nyie wahusika, tunapo k...uwa tukisema vyombo vya usalama na ulinzi tunamaanisha nini? Im so sorry simaanishi kumkera mtu bali ni somo la uraia tu na mnaweza kutufundisha pia kwa sisi tusio elewa kuhusu jeshi na majukumu yake. love yall:)See More12 hours ago · ·
1
Bainasi Wamunza @Batungi,mie najua kuwa marefaree wetu wana mapungufu hiyo ni kweli,lakini je ni wao wa kulaumiwa au niwatu waliowaajiri??mie naona BD inatakiwa iajiri refarEes wenye uwezo na sio wa kubabaisha baisha...na wao BD kuweza kuajiri hao refarees wenye uwezo fedha inatakiwa...sasa ndiyo hapo. 11 hours ago via mobile ·
Alphonce Kusekwa Sio ishu sana,nimawazo tuu kama yangefaa coz kila mara police huwa wanaitwa sielewi inakuaje,and usalama nipopote pale haswa mtu au watu wanapo vuluga amani.my aim nikuona games indoor zinachezeka bila uvunjifu wa amani japokua refa sometym...z wanamapungufu makubwa and wengine wana makusudi plus mapungufu,mwisho wa siku tuone jinsi gani mambo yatakaa poa indoor iwe kama zamani mashabiki kibao watu na familia zao,saizi ukileta familia aibu ya matusi mara mikojo na maji inarushwa basi tuuu nifujo flani,player tuwe mstari wakwanza kubadili hali kuonesha nidham na ustaarabu mkubwa uwanjani na tuuambukize kwa mashabiki wetu then marefa na viongozi tuungane kutoa maamuzi bora yasiyo na ushabiki wala upendeleo hapo heshima ya mchezo itarudi na wadhamini wata kimbizana kuja kudhamini but now ngum kidogo coz mambo yamekaa kiswazi zaidi wakati naamini 90% ya wadau ni wanafunzi pamoja na wafanyakazi,kwanini tusiwe wastaarabu au kwanini tusiwaambukize mashabiki wetu?mwelevu yatamuingia na kuwa mfano.mungu ibariki tanzaniaSee More
Ashraf Harun Hivi kwa nini watanzania tunapenda kufichaficha,kutumia wingi kwa kutosema nani kakosea.basi tuu ionekane ma,wa au kikundi cha chaa..... Kwa ninin tusibadilike jaaman.
Bainasi unajuwa kilakitu.kwamba kwamba refaree PROSPER alizingua ndo ch...anzo yeye kuharibu game.ya abc na savio.
@Alphonce hata elimu ya uraia tu darasa la nne inazungumzia utofauti kati ya polisi na jeshi na kazi zao,huwezi kupeleka jeshi kulinda usalama wa raia na malizao hiyo nikazi ya polisi jeshi ni kuilinda nchi na mipaka yake
Kwa hiyo mnapo zungumzia hayo tusiwe tunaongea tu.tujaribu kufikisha mada inayo husika.
Na game ya vijana na changombe sio changome walio zinguwa ni shabiki na hakuna anayemfahamu.
Harafu sheria ya mchezo ananza kuonywa alie sababisha mpaka aliye tenda tajenii walio mess up.msiwaweke kwenye magroup.See More
Alphonce Kusekwa Nikweli kaka,ushauri kwa viongozi,inasemekana police walichelewa kuja je haiwezekani wakaomba askari jeshi wa chache kila game?tena tumezungukwa na vikosi kadhaa pale,pls usalama wa mashabiki na wachezaji na marefa ni muhim sana coz pale nisehem ya furaha na amani na inajulikana kua baadha huchafua kidogo aman so lazima hatua madhubuti zichukuliwe kukomesha mazoea yasio mazuri.work on it BD
Abbas Abbas Wakwanza MM NAONA UONGOZI HAUPO MAKINI 1 REFAA, ANAPOTUMIA UWANJA KAMA SEHEMU YA KULIPIZA,NA UBAYA ZAIDI ANASEMA [MM TIMU FULANI SIIPENDI],2 UONGOZI UNASUBIRI MPAKA FUJO ZITOKEE NDIO WAITE ASKARI, DADA BAINASI HAKUNA WATU WASTAARABU KAMA WACHEZA BASKET BALL KUAANZIA BAVAZI,NK.19 hours ago · ·
1
Bainasi Wamunza @Alphonce..that's right brothe BD wafikirie kwa kina.
@Abbas ni kweli sifa ya wanabasketball ilkikuwaga wastaarabu...ila naona imebadirika..so yah
@Steve ndiyo maana inaitwa timu ya ABC na sio timu ya steve au dulla.So ABC ni ABC
Gilbert BatungiAlphonce alichoandika macho ndivyo kilivyo hucpindishe na kama ulikua hujui bac ndio ivyo naomba uwe balozi wa wengine ambao hawajui kama ww kuwaelewesha ili wajue wacje ongea vitu wacvyovijua.bainac izi lawama zote unahic malefaree hawauck...i kupewa shutuma coz hujawazungumzia kabisa nahic utakua unapewa matokeo tu kwenye game huji maadam ungekua unakuja ungeona uozo wa awa mabwana na mm naona ndio chanzo cha yote aya nia ayo tu Alphonce na BaiSee More
Dulla KafasheSasa Gilbert na Steve Macho, naamini mko sawa kwa asilimia mia moja, kazi yenu ni kulinda mipaka, na ndani ya mipaka hakuna watu kuna mabox thats why hamuwezi kulinda usalama wa raia- sasa mjini mnafanya nini? hebu nyie wahusika, tunapo k...uwa tukisema vyombo vya usalama na ulinzi tunamaanisha nini? Im so sorry simaanishi kumkera mtu bali ni somo la uraia tu na mnaweza kutufundisha pia kwa sisi tusio elewa kuhusu jeshi na majukumu yake. love yall:)See More12 hours ago · ·
1
Bainasi Wamunza @Batungi,mie najua kuwa marefaree wetu wana mapungufu hiyo ni kweli,lakini je ni wao wa kulaumiwa au niwatu waliowaajiri??mie naona BD inatakiwa iajiri refarEes wenye uwezo na sio wa kubabaisha baisha...na wao BD kuweza kuajiri hao refarees wenye uwezo fedha inatakiwa...sasa ndiyo hapo.11 hours ago via mobile ·
Alphonce KusekwaSio ishu sana,nimawazo tuu kama yangefaa coz kila mara police huwa wanaitwa sielewi inakuaje,and usalama nipopote pale haswa mtu au watu wanapo vuluga amani.my aim nikuona games indoor zinachezeka bila uvunjifu wa amani japokua refa sometym...z wanamapungufu makubwa and wengine wana makusudi plus mapungufu,mwisho wa siku tuone jinsi gani mambo yatakaa poa indoor iwe kama zamani mashabiki kibao watu na familia zao,saizi ukileta familia aibu ya matusi mara mikojo na maji inarushwa basi tuuu nifujo flani,player tuwe mstari wakwanza kubadili hali kuonesha nidham na ustaarabu mkubwa uwanjani na tuuambukize kwa mashabiki wetu then marefa na viongozi tuungane kutoa maamuzi bora yasiyo na ushabiki wala upendeleo hapo heshima ya mchezo itarudi na wadhamini wata kimbizana kuja kudhamini but now ngum kidogo coz mambo yamekaa kiswazi zaidi wakati naamini 90% ya wadau ni wanafunzi pamoja na wafanyakazi,kwanini tusiwe wastaarabu au kwanini tusiwaambukize mashabiki wetu?mwelevu yatamuingia na kuwa mfano.mungu ibariki tanzaniaSee More
Ashraf HarunHivi kwa nini watanzania tunapenda kufichaficha,kutumia wingi kwa kutosema nani kakosea.basi tuu ionekane ma,wa au kikundi cha chaa..... Kwa ninin tusibadilike jaaman.
Bainasi unajuwa kilakitu.kwamba kwamba refaree PROSPER alizingua ndo ch...anzo yeye kuharibu game.ya abc na savio.
@Alphonce hata elimu ya uraia tu darasa la nne inazungumzia utofauti kati ya polisi na jeshi na kazi zao,huwezi kupeleka jeshi kulinda usalama wa raia na malizao hiyo nikazi ya polisi jeshi ni kuilinda nchi na mipaka yake
Kwa hiyo mnapo zungumzia hayo tusiwe tunaongea tu.tujaribu kufikisha mada inayo husika.
Na game ya vijana na changombe sio changome walio zinguwa ni shabiki na hakuna anayemfahamu.
Harafu sheria ya mchezo ananza kuonywa alie sababisha mpaka aliye tenda tajenii walio mess up.msiwaweke kwenye magroup.See More


Jamani tuache kuficha ukweli na hakuna mtu wa basktball asie jua ukweli wa swala hii la kutokea vurugu katika uwanja wa ndani wa taifa hili swala si la leo au jana ni mambo ambao yalijuwa yamejengeka kwa kipindi kirefu sana hasa kwa wahusika kupendelea na kuzikandamiza team za temeke hasa Chang'ombe Boys na wala hakuna mtu aliyezungumzia swala hili mpk kwa sasa linafikia hatua hii na kuona kama sasa kama ni utovu wa Nidhani, kiukweli kabisa DB wamerithi tabia hi iliyokuwa umejengwa na kina msofe kwa kipndi kirefu sana kuona kuwa kikabu lazima kiwa na team za vijana na Pazi tu sasa lazima tubadilike na kuangalia nini chanzo na kushirikiana kwa pamoja ili tusonge
ReplyDeleteni aibu sana kwa swala hili kwani huwezi amini kikabu kwa sasa kinakufa kabisa yanii na tusipo kuwa makini ndo tunakizika kabisa