Search This Blog

Monday, March 26, 2012

SIMBA NA ES SETIF ZAINGIZA MIL 268

Mechi ya kimataifa ya kombe la shirikisho kati ya Simba SC ya Tanzania na ES Sewtif ya Algeria iliyochezwa jana katika uwanja mkuu wa taifa jijini Dar es salaam imeingiza kiasi cha cha fedha shilingi millioni 268 na laki 539,000.

Mechi hiyo iliyoratibiwa na kampuni ya primetime promotion imeingiza mapato hayo baada ya watazamaji 43,592 kununua tiketi za kwenda kuangalia mechi hiyo.

Katika mechi mechi Simba ilishinda kwa mabao mawili kwa nunge.
Mgawanyo wa mapato utakujia muda mfupi ujao. Endelea kusoma na kutembelea mtandaqo wako bora michezo Tanzania.

No comments:

Post a Comment