Search This Blog

Wednesday, January 11, 2012

WADAU MNAUKUMBUKA HUU MTANANGE ?

PAMBA VS USHIRIKA

AISEE ANAYEUKUMBUKA HUU MPAMBANO ULIPIGWA KWENYE DIMBA LA CCM KIRUMBA JIJINI MWANZA ATUKUMBUSHE



4 comments:

  1. Ushirika ni chama ambalo mshua wangu amelichezea now chama lipo taaaban.

    ReplyDelete
  2. nakumbuka ilikuwa miaka ya 1991-1992 ambapo pamba ilishinda 2-0. nakumbuka wachezaji waliokuwemo ni pamoja na madata rubigisa,paul rwechungura,deo mkuki,niko bambaga,nteze john,hamza mponda,george masatu,james washokera,husein masha,khalfan ngasa,kitwana selemani nafikiri na fumo felician alikuwemo,dam muhoja,na ipande wa hshirika nawakumbuka akina joseph katuba,willy martin tena alikuwa na mguu mmoja mfupi,na akina willy mtendawena. baada ya kushuka daraja sikweza kushabikia tena mpira ila nafuatilia tu. niliipenda sana pamba ya mwanza. kipindi hicho nilikuwa naingia darasa la pili ila tulikwenda kuuona na kaka yetu. kiingilio ilikuwa shilingi 20 kwa watoto wakubwa shilingi 70-100

    ReplyDelete
  3. mtanange huu naukumbuka, matokeo yalikuwa 2-2, kikosi cha USHIRIKA waliochuchumaa kutoka kulia: Willy Martin, Ofen Martin, Waziri Ally, Julius Kalambo, ????, Kaunda Mwakitope, Venance Mwakalukwa, na Bahatisha Ndulute. waliosimama toka kushoto : omar Abbas (mfungaji bora wa mwaka 1990.

    ReplyDelete
  4. mimi namkumbuka kocha koroso wa ushirika alikuwa bonge la kocha
    wako
    James

    ReplyDelete