Search This Blog

Sunday, January 22, 2012

JKT OLJORO WALIPOPEWA NASAHA NA MKUU WA MKOA WA ARUSHA Bw Magesa Mulugo.













Picha zote na woinde shizza,Arusha

1 comment:

  1. Hongera sana Mkuu wa mkoa wa Arusha.
    Nimepokea kwa heshima kubwa habari za mchango wako wa timu ya JKT Oljoro kwani wakuu wengi wa mkoa wanapokuja Arusha huwa wanasahu kabisa suala la timu zinazouwakilisha mkoa, ulifanyika mzaha AFC ikashuka daraja, watu wanangangania Simba na Yanga timu za DSM mpaka lini jamani kumbukeni bila JKT Oljoro ama AFC mtaishia kuziona hizo Simba na Yanga kwenye magazeti ama kwenye TV sapoti kwa timu zetu ni muhimu sana.
    Shime wananchi tujitikeze kusaidia timu hii na nyingine zote zitakazo panda daraja.

    ReplyDelete