Search This Blog

Thursday, December 8, 2011

MSIBA: MANCHESTER UNITED YATOLEWA CHAMPIONS LEAGUE SASA KUCHEZA MECHI ZA ALHAMISI

3 comments:

  1. mashabiki wa united tusitafute mchawi,we should admit that currently there is no enough quality,hatuna watu wakuamua mechi kama hapo nyuma,rooney hayuko kwenye form,gigs is old na inasikitisha kuona kua ndio moja ya wachezaji waliofanya vizuri hao wadogo hakuna kitu,midfield ndio tatizo letu la msingi na fergie akajifanya genius akifikiri anybody can bring creativity katikati,tupumzike sasa tusubiri either kurudi mwakani au kupotea kama liverfool(pool) chela wa dom

    ReplyDelete
  2. Chela wa dom nakupa support..! Midifielder mbovu kabisa..! Jones anahitaji mechi nyingi apozoe..! Bbabu inabidi ajaribu kufanya usajili wa midifielder na kupunguza wachezaji ambao hawana faida kwa team..! kupotea kwenye ramani kama Liverpool ni ngumu sana labda UCL kaka..! Evans, Fletcher, Macheda, Gibson wakuondoka..! Young bado hajawezo kwenda na speed ya UTD pia..! Sam wa kitaa

    ReplyDelete
  3. Kweli mwana msubuli kupotea km wenzenu wakina Inter,liver,Ajax,@Side5 frm Tumaini Iringa.

    ReplyDelete