Search This Blog

Monday, December 5, 2011

MSAADA TUTANI,HAWA NI KINA NANI ?



29 comments:

  1. Haruna Moshi Boban(Baloteli),Athuman Iddy Chuji(Mzee wa Uchebezi) na Kelvin Yondani(Vidic)

    ReplyDelete
  2. Mateja wa ligi ya bongo

    ReplyDelete
  3. Wa kati ni CHUJI
    Wako
    James

    ReplyDelete
  4. Mibange mtu hiyo ilipotoka Sudan..

    ReplyDelete
  5. Boban, chiji na Yondani

    ReplyDelete
  6. haruna moshi boban chuji na yondani

    ReplyDelete
  7. we shafih unatafuta mitusi sasa

    ReplyDelete
  8. From Left, Mh Waziri Khatibu, Boban, Chuji na Yondani

    ReplyDelete
  9. Afu eti wapo pembeni ya kiongozi wa kitaifa
    Mh. Musa Seif Khatib

    ReplyDelete
  10. wazalendo wa ukweli haoo..........!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  11. Vijana wenye vipaji vya hali ya juu wasio na nidhamu ya kutosha.Haruna Moshi Mawera'boban',Athuman Idd'Chuji' na Kevin Yondani'Vidic'.

    ReplyDelete
  12. Upande wa kushoto ni mtukutu asiye na faida Haruna Moshi Boban, Katikati ni Athuman Idd Chuji angalau amejirekebisha nampa hongera kwa hilo na namshauri aangalie mbele kwa faida yake na familia yake nampenda sana. na wa 3 kulia ni Amiri Maftaa huyo anaonekana anafuata mkumbo na aangalie sana kwa maisha asipende kuiga mambo yasiyokuwa na faida kwake.

    ReplyDelete
  13. hao ni mashabiki wa soka wenye mizuka

    ReplyDelete
  14. Mbona wabongo Fitina hivyo kwani hawawezi kukaa na Kiongozi wa taifa ebu acheni hizo bana walikuwa wachezaji wa timu ya taifa so ishu zao za njee ya uwanja sio ishuu sanaa

    ReplyDelete
  15. Mabange Mob hao kaka Shaffih K. Dauda.

    ReplyDelete
  16. ni watukutu aka kina balotolli wa bongo,chuji,boban na yondan jombaaa

    ReplyDelete
  17. DAAH WOTE NYOKA WATUKUTU NA MASIKINI WATARAJIWA WALIOSHINDWA KUTUMIA VIPAJI VYAO KWA NIDHAMU LEO. WALA NGADA HAO WOTE aka MATEJA. HAO JAMAA BAADA YA MIAKA 7 WATAFUTE UTAWAONEA HURUMA.

    ReplyDelete
  18. KUSHOTO NI DOGO MFAUME,KATI NI JMOE NA KULIA NA NGWEA!!!!!!!

    ReplyDelete
  19. Sigara BWEGE na maji ya UCHUNGU.

    ReplyDelete
  20. boban,chuji na yondani,pembeni ya boban ni seif khatibu

    ReplyDelete
  21. Inasikitisha sana kwa Wasanii na Wanamichezo wetu kutokujitambua au kutumbua mahadili,nidhamu na sifa kuu za kuwafanya kutambulika kimataifa..tatizo na vyombo vyetu vya habari vinawapa umaharufu na sifa batili ambazo hawana..bado safari ni ndefu ktk kuwapata wachezaji wa ukweli..

    ReplyDelete
  22. HAO NI MAJEMBE AUCTION MART,VIJANA WA KAZI!

    ReplyDelete
  23. from left haruna moshi m2kutu, athumani iddi m2kutu,kelvin yondani m2kutu hayo ndiyo majina ya babu zao

    ReplyDelete
  24. from left haruna moshi,athumani iddi ,kelvin yondani wote watukutu

    ReplyDelete
  25. kweli kaazi ipo..du hivi ni wabongo kweli? mbona hawaelekei kama ni wabongo?

    ReplyDelete
  26. HAO NDO WALIKUWA TEGEMEO BONGO!
    boban,chuji na yondani
    Soka yetu bado ina safari ndefu sana...

    ReplyDelete
  27. Hawa nateja maarufu ligi kuu tanzania bara

    ReplyDelete
  28. wameshakula kamti pombe hapo wanakua kama waasi wa Sierra Leon.. kweli ndumu ogopa xana..

    ReplyDelete
  29. HAO NIMATEJA MAARUFU TFF,NA WABWIA UNGA WAKONDWE WA TAIFA STARS

    ReplyDelete