Search This Blog

Thursday, December 29, 2011

HATIMAYE TP MAZEMBE YAUZINDUA UWANJA WAKE:




RAISI WA TP MAZEMBE MOISE KATUMBI CHAPWE



MOISE KATUMBI CHAPWE









JB MPIANA AKITUMBUIZA MASHABIKI WALIOHUDHURIA






JB MPIANA











CHAMPION KATUMBI MTOTO WA MOISE AMBAYE PIA ANAMILIKI TIMU YA DON BOSCO...HAPA ANAONEKANA AKIWA NA MACHUNGU YA KUMLIPA BABA YAKE..



MKE WA MOISE KATUMBI ALIKUEPO PIA KUSHUHUDIA TUKIO HILO



TP MAZEMBE PIA WALIZINDUA BIDHAA MBALI MBALI ZA KLABU ZIKIWEMO HIYO SANDALS HAPO JUU



WAGENI WAALIKWA...






































































4 comments:

  1. Matajiri wenye akili. Si mchezo Katumbi kaamua kuliteka soka la Congo na Afrika kwa asilimia kubwa tuuuuuuuuuuuu.

    ReplyDelete
  2. hili ni fundisho kwa vilabu vyetu vinavyoondeshwa kwa kanuni za karne ya 19

    ReplyDelete
  3. duu,hawa mazembe watatawala soka ya afrika kwa muda mrefu,vilabu vyetu vya simba na yanga vijifunze sio kelele tu na kucheza mpira magezetini wakati hakuna kitu,mimi ni shabiki wa simba na ninachukia kwanini ninaipenda klabu isio na mipango wala dira ila ndo vile huwezi kuacha wala kuhama,mipango yetu ni ya muda mfupi na ya kufurahisha washabiki hatuangalia mbali
    chela wa dom

    ReplyDelete
  4. Sandles alipewa zawadi hawakuzindua kaka/

    ReplyDelete