EXCLUSIVE: KOCHA MPYA WA SIMBA MILOVAN CIRKOVIC ALIPOWASILI BONGO JANA
Baada ya kuwasili nchini, kocha Mserbia Milovan Cirkovic akilakiwa na katibu mkuu wa klabu ya Simba Evodius Mtawala kulia, na mwenyekiti wa kamati ya Ufundi ya klabu hiyo Ibrahim Masoud "Maestro" na wa mwisho kushoto ni Jerry Yambi mjumbe wa kamati ya mashindano ya klabu hiyo.
Sina lakusema kuhusu makocha wa Simba, langu ni moja tu!!! Tuendeleze U-20 yetu na kutafuta mbinu za kushinda michuano mikubwa ya africa. Tusije kulaumu kupangwa na Waarabu wakati tunajua tunenda kushindana na washindi wa africa na sio Yanga. Tanzania hata akija Morinho, la msingini kujenga wachezajikwanikocha hachezi.
ReplyDeletesimba inatakiwa wampe muda wa kutosha kocha
ReplyDelete