Search This Blog

Thursday, November 24, 2011

LEO ZAMU WA MASHABIKI WA MAN UNITED - HUYU NI NANI?

7 comments:

  1. Huyo ni mnzinzi kikongwe gigs

    ReplyDelete
  2. Ryan Giggs kaka huyo.

    ReplyDelete
  3. Huyo ni Welsh Wing wizard Rya GIGGS

    ReplyDelete
  4. Sure naungana na wachangiaji wengine waliosema ni RYAN Giggs-Mchezaji aliyecheza soka kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu na mpaka sasa manchester bado tunamhitaji sana na nimatumaini yangu Fergie atamuongezea mwaka mwingine mmoja wa mkataba. Much respect kwa Giggs.

    ReplyDelete