Search This Blog

Saturday, November 26, 2011

KALI YA LEO: BORUSSIA YAONGOZA LIGI YA BUNDERSILIGA BAADA YA MIAK 26


Timu ya Borussia Moenchenglabach imeamaliza ukame wa maiak 26 baada ya ushindi wa jana kwenye ligi kuu ya Ujerumani dhidi ya FC Colegne wa mabao 3-0, ushindi ambao umeawafanya waongeze ligi .

Klabu hiyo haijawahi kuongoza ligi hiyo tokea miaka 26 iliyopita.

1 comment:

  1. hawa watu this season ni kama wapo vizuri sana maana kama sio last game before hii walimpiga bremen kitu kama 5..daah...wamenunuliwa?maana teams za german hela ilisumbua hapa kati...

    bayern wanaboa..wapo ON and OFF sana kwenye ligi yao..


    pundit..classic

    ReplyDelete