Search This Blog

Friday, November 25, 2011

INTERVIEW YA NIZAR KHALFAN

1 comment:

  1. Kwa Nizar kwenda kucheza ligi ya Marekani ni hatua nzuri kwa watanzania kujitangaza zaidi katika soccer duniani,ijapo bado tuna ligi dhaifu yenye timu chache zenye ushindani!
    Tungetuma makocha wengi wanafunzi kwenda nchi mbalimbali duniani kujifunza soccer huko wakaja kufungua au kufundisha academy na au baadae wakafundisha vilabu vyetu soccer yetu watanzania ingebadilika.Ushindani unasaidia sana sana ktk soccer!
    Ni Dr.Japhet.Arusha Mjini!!!

    ReplyDelete