Search This Blog

Saturday, November 26, 2011

BREAKING NEWS: SIMBA BINGWA UHAI CUP, YAITANDIKA AZAM.

Fainali ya mashindano ya Uhai Cup imemalizika dakika chache zilizopita na Simba sports club under 20 imefanikiwa kuchukua kombe hilo baada ya kuwafunga Azam FC kwa penati.

2 comments:

  1. Nawapongeza sana Kizazi chetu cha maana. Nadhani kila mmoja wetu aliyehudhuria angalaumara moja amemuona Messi wa Bongo na kumkubali. Simba na Azam ndo timu zilizo onesha soka la mipango na Mwisho wanafika fainali na sisi tunachukua ndoo yetu na kuitunza Msimbazi.
    WITO:
    NI LAZIMA WATOTO HAWA TUWATUNZE TENA KEA GHARAMA KUBWA KWANI WATAPUNGUZA GHARAM ZA USAJIRI NA TUKIWAUZA TUNAPATA FAIDAMARA DUFU.

    ReplyDelete
  2. nje ya hii mada..kaka links zako hazifanyi kazi?,,nimeingia kwenye fixture na results zioni kitu..najaribu kupata fixture ya tusker cup na results ...sioni

    classic

    ReplyDelete