
The Mexican anakuwa mchezaji wa 13 kusaini mkataba mpya na United tokea mwaka jana.
United walitumia zaidi ya £50 million katika kipindi cha usajili lakini hilo halikuwafanya wasahau kuhakikisha uwepo wa wachezaji wao wengine ndani ya kikosi.
Hii ni listi kamili ya wachezaji 13 ambao wame-renew mikataba yao na United katika kipindi cha miezi 12 iliyopita pamoja na mishahara yao ya wiki wanayopata katika vipindi vya mikataba yao vilivyobaki.

ANDERSON
Umri: 23
Urefu wa mkataba: Mpaka 2015
Mshahara: £60,000

MICHEAL CARRICK
Umri: 30
Urefu wa mkataba: Mpaka 2014
Mshahara: £75,000

TOM CLAVERLEY
Umri: 22
Urefu wa mkataba: Mpaka 2015
Mshahara: £30,000

PATRICE EVRA
Umri: 30
Urefu wa mkataba: Mpaka 2014
Mshahara: £90,000

DARREN FLETCHER
Umri: 27
Urefu wa mkataba: Mpaka 2015
Mshahara: £80,000

RYAN GIGGS
Umri: 37
Urefu wa mkataba: Mpaka 2012
Mshahara: £80,000

JOSHUA KING
Umri: 19
Urefu wa mkataba: Mpaka 2013
Mshahara: £8,000

PARK JI-SUNG
Umri: 30
Urefu wa mkataba: Mpaka 2013
Mshahara: £50,000

JAVIER HERNANDEZ
Umri: 23
Urefu wa mkataba: Mpaka 2016
Mshahara: £90,000

WAYNE ROONEY
Umri: 26
Urefu wa mkataba: Mpaka 2015
Mshahara: £220,000

CHRIS SMALLING
Umri: 21
Urefu wa mkataba: Mpaka 2016
Mshahara: £40,000

ANTONIO VALENCIA
Umri: 26
Urefu wa mkataba: Mpaka 2014
Mshahara: £80,000

NEMANJA VIDIC
Umri: 30
Urefu wa mkataba: Mpaka 2014
Mshahara: £90,000

No comments:
Post a Comment