Search This Blog

Sunday, October 23, 2011

LIVE MATCH CENTRE: YANGA 1-0 JKT OLJORO

HAMIS AMEIFUNGIA GOLI LA KWANZA YANGA KATIKA UWANJA WA CHAMAZI

3 comments:

  1. ushauri wangu kwako dauda hapa pembeni kulia ungetafuta nafasi ya kudumu utuwekee table ya ligi kuu ya bongo kwani kila siku tunaona matokeo lkn msimamo wa ligi hatuujui tunasikia tuu mnyama anaongoza.
    wako
    James

    ReplyDelete
  2. James yuko poa mzazi hebu tuwekee msimamo kama soccernet though ligi yenyewe haivutii kama jana matokeo ya yanga tumeyajua baada ya kumalizia furaha ya kufungwa 6.
    Gregory

    ReplyDelete
  3. kaka!mm ni mpenzi wa yanga mkubwa 2,ila kwa hli la sam timbe viongozi wamekulupuka na mechi ya simba 2shafungwa.jaman viongozi we2 wameshndwa kuangalia nyuma kiukweli.

    ReplyDelete