Search This Blog

Saturday, October 8, 2011

HUYU NDIYE MBWIGA WA SPORTS XTRA...

NAITWA MBWIGA MBWIGUKE MKOLE WA NYANI KIBWAYA MKIA UZEE WA SIMBA SI UJANA WA FISI, UNGA ROBO CHENJI IRUDI MTU MWENYE MANENO MENGI MUONGO MUONGO, KISHETI YAANI FUNDI WA MPIRA MJANJA MJANJA UKIUTAKA NAKUPA KAMA SITAKI NAKUFANYIA UBAHILI NAPIGA NJE YA 18,MABEKI WAKIZUBAA NAWAFANYA KAMA MAHINDI MACHANGA SITEMI KITU NATAFUNA GUGUDUGUGUDU.............. ( SHOTO MWENYE JEZI YA AZAM )

6 comments:

  1. du! kumbe kijana tu bado hivi anamiaka mingapi?

    ReplyDelete
  2. Huwa nasikiliza cloudsFm online niko USA nacheka sana nikimsikia huyo jamaa Mbwiga analeta raha kwakweli.. Keep it up guyz.

    ReplyDelete
  3. ebwana huyo fundi sana hata kama hajacheza ila anaucheza mdomoni
    bokandee

    ReplyDelete
  4. kaka habari za mapamabano huyu mwiga mkali lakini anajua kweli soka au blabla 2?

    ReplyDelete
  5. kaka huyo allan shomari kapofuka nyie wadau mna msaada gani kwake?au ndo mmeshammwaga hvyo kwani msitembelee mkajulia hali kwa madhila anayopata?au asiyekuwapo machoni na moyoni.......,chonde chonde jamaa kiukweli anahitaji msaada wenu!

    ReplyDelete