Search This Blog

Saturday, October 29, 2011

BREAKING NEWS: BOBAN AMPIGA VICHWA OKWI BAADA YA KUFUNGWA NA YANGA


Kufuatia matokeo ya kufungwa na watani wao wa jadi 1-0 dakika chache zilizopita, taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya dressing room ya Simba SC ni kwamba Haruna Moshi Boban amempiga vichwa mchezaji mwenzie Mganda Emmanuel Okwi kwa madai ya kuikosesha ushindi timu kwa kukosa mabao mengi ya wazi.

“Haruna amempiga Okwi baada ya mechi kuisha huku akimtuhumu kuikosesha timu ushindi kwa kukosa kufunga katika nafasi za wazi.Baada ya kumpiga Okwi, Haruna ameondoka hapa uwanjani peke yake bila kuongozana na wachezaji wenzie,” kilisema chanzo cha habari.

Mpaka sasa haijajulikana Okwi ameumia kwa kiasi gani kutokana na kipigo alichokipata kutoka kwa Boban.

17 comments:

  1. Unafanya mchezo na mmea korofi eeh,ule mmea ni noma.

    ReplyDelete
  2. kazidi! eti tangia aanze kuichezea Simba hajawahi kuifunga Yanga, Piga tu vichwa, kweli katunyima ushindi.

    ReplyDelete
  3. hahaaaa! hizi hasira zingine sasa,hivi angekua anacheza na Jon Tery si ndo angemuua

    ReplyDelete
  4. tatizo sio yeye ni majani 2.okwi msamehe kaka ye2.

    ReplyDelete
  5. Saafi Boban,nadhan ata Basena alitakiwa apigwe vichwa leo yani hawa Waganda Okwi na Basena wame2udh sn.

    ReplyDelete
  6. safi sana angemchapa na ***** kabisa, ila hata besena coacher hakupanga safu nzuri kipind cha kwanza mechi kama hii unamuweka bench haruna na uhuru seleman!? kocha hana jipya

    ReplyDelete
  7. Huyu jamaa bangi itampeleka pabaya sana! Anamtuhumu mwenzake namna hiyo kwani hajui kuwa watu huwa wana siku mbaya. Mbona Torres hapigwi Chelsea?

    ReplyDelete
  8. bangi hatari sana jamani

    ReplyDelete
  9. kaka shaffih kichaa hakiponi huwa kinatulia kama vp na nyie mngempiga john evans last wik au drogba ,tatizo wachezaji wetu ndo mazingira waliyokulia na hawana watu wa kuwashauri kubehave kama professional au super star,,i call it foolish ,gregy

    ReplyDelete
  10. dah inauma kufungwa, roho safi na timu ndicho kilichompelekea boban kumpga vchwa huyo okwi. tena inabidi hao wakina bobani wawe wengi ili spirit iongezeke kwenye timu...

    ReplyDelete
  11. acha apigwe kwa mchezo aliocheza jana okwi inaonekana wazi kabisa alikula ela toka kwa ridhiwani hz ni habari ya chini ya capert

    ReplyDelete
  12. Ha ha ha haaaaaa!!!!!!bhebhe nataka chezea papich? Papich ipo baya sana bhana! Papich nafanya bhebhe napiga menzio kichwa.

    ReplyDelete
  13. Tatizo ni mashabiki wa simba kumuabudu HARUNA kama mungu wao. Wachezaji wa kibongo hawajielewi ukiwasifia kidogo tu wanavimba vichwa, ni tofauti na wenzetu kule ulaya kina messi, ronaldo wanasifiwa kila siku lakini bado wanapiga magoli kila kukicha...!



    ABDALLAH BUBAN

    ReplyDelete
  14. Hiyo sio kitu cha kufurahia, Boban anatakiwa afukuzwe Simba mara moja. Nyie mmeona simba na yanga ndio mechi tu? mbona okwi kafunga magoli mengi tu?

    ReplyDelete
  15. Kukosa ushindi usichukie kiasi hicho mwanangu mnyamwezi. kama ingekuwa hivyo timu zetu za majeshi watu wangekula virungu na mikanda vya kutosha. By Abel A. TOWN.

    ReplyDelete