Search This Blog

Wednesday, September 14, 2011

SIMBA YAIFUNGA POLISI BAO 1:0

TAARIFA NILIZOZIPATA PUNDE MSHAMBULIAJI Gervais Kago kaifungia Simba bao pekee kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom.
Mchezo huo ulipigwa kwenye uwanja wa Azam huko Chamazi.
SIMBA 1:0 POLISI ( FT)



No comments:

Post a Comment