Hapa alikuwa anamkimbiza Kiungo Haruna Moshi 'BOBAN' .
Huyu Mbwa alimtoroka Askari na kuingia uwanjani na kuwakimbiza wachezaji kama unavyomuona hapo pichani.
Hapa ilikuwa kabla hajakata kamba....cheki anavyowaangalia Raia....anaonekana ana uchu kweli...*Tukio hili lilitokea Mkoani Mwanza kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya TOTO AFRICANS na SIMBA Uliomalizika kwa timu hizo kufungana mabao 3-3.
No comments:
Post a Comment