Search This Blog

Friday, September 2, 2011

FRANCIS CHEKA AMTANDIKA TENA MADA MAUGO KWA POINTI.




Bondia Francis Cheka amefanikiwa kumshinda bondia Mada Maugo kwa pointi.



Pambano hilo lilichezeshwa na waamuzi toka chama cha TPBC lisilokuwa la ubingwa, walimpa ushindi cheka kama ifuatavyo



mwamuzi wa kwanza alitoa matokeo ya sare kwa mabondia wote 98-98



Jaji wa pili alimpa Cheka ushindi wa pointi 99-98



na jajin wa tatu alimpa Cheka ushindi wa 100-98


1 comment:

  1. Mimi naona likitokea pambano la Mada Maugo na Bondia yeyote yule wa hapa bongo liamuliwe na marefa wa nje ya nchi coz huyu Mada mbishi hata akipigwa haachi kusema ameonewa na marefa/majaji.
    Ni hayo tu

    ReplyDelete