FABREGAS AKIWA NA RAISI WA KLABU YA BARCELONA ROSELL SANDRO MARA BAADA YA KUSAINI MKATABA WA MIAKA 5 WA KUITUMIKIA KLABU HIYO.
HATIMAYE CSEC FABREGAS AMEJIUNGA NA BARCELONA BAADA YA KUHUSISHWA NA KURUDI KWA TIMU YAKE YA ZAMANI KWA TAKRIBANI MISIMU MITANO ILIYOPITA, NA LEO AMETAMBULISHWA RASMI KWA WAANDISHI WA HABARI NA MASHABIKI WA TIMU KWENYE UWANJA NOU CAMP-CATALAN SPAIN.
No comments:
Post a Comment