Search This Blog

Tuesday, August 23, 2011

MPIRA WA NIKE T90 KIBOKO YA JABULANI



Nike wamezindua mpira mpya unaoitwa Nike T90 Seitiro utakotumika katika msimu mpya wa Barclays Premier League.


T90 Seitiro umeundwa na teknolojia ya NIKE RaDar (Rapid Decision and Response) ambayo inawapa wachezaji uwezo wa kuupiga mpira huo na kupata uhakika wa kwenda ulipokusudiwa, kama ambavyo ilivyotokea kwa Sergio Aguero alivyopiga shuti la mbali katika mechi kati Man City dhidi ya Swansea.


Aina hii mpira imeshajaribiwa na mastaa wa soka kama vile Wayne Rooney na kuonekana kwamba ni mpira bora na sahihi kwa matumizi ya soka kuliko yote ulimwenguni.T90 Seitiro ball utatumika katika ligi kuu maarufu duniani kama Barclays Premier league,Serie A ya Italia na Spain kwenye La Liga.



No comments:

Post a Comment