Huyo captain ni Haidar Abeid Muchacho, anaepeana nae mkono ni Abdallah King Kibaden, anaefuata ni Mohamed Kajole Machela, Omary Chango, Abbas Dilunga, Willy mwaijibe(pass), Arthur Mwambeta, Alloo Ally, na Hamisi Askari (mzee wa bench) ngoma ilikuwa nyamagana Mwanza wakati chama langu Simba sc inalala 2-1 kwa Yanga: wachezaji wetu wa kitambo walikuwa wameshiba unamuona Abbas Dilunga mfupi lakini ameshiba hapa hakuna chips yai niugali kwa kwenda mbele.
shafih hapo wengine ni salum kabunda ninja,david mwakalebela na kenneth pius mkapa.
ReplyDeleteHuyo captain ni Haidar Abeid Muchacho, anaepeana nae mkono ni Abdallah King Kibaden, anaefuata ni Mohamed Kajole Machela, Omary Chango, Abbas Dilunga, Willy mwaijibe(pass), Arthur Mwambeta, Alloo Ally, na Hamisi Askari (mzee wa bench) ngoma ilikuwa nyamagana Mwanza wakati chama langu Simba sc inalala 2-1 kwa Yanga: wachezaji wetu wa kitambo walikuwa wameshiba unamuona Abbas Dilunga mfupi lakini ameshiba hapa hakuna chips yai niugali kwa kwenda mbele.
ReplyDelete