Habari kutoka ndani ya Klabu ya YANGA zinasema uongozi wa timu hiyo hautaipeleka uwanjani hapo kesho kupambana na SIMBA kwenye mchezo wa ngao ya hisani mpaka pale TFF itakapoilipa timu hiyo madeni ya shilingi milioni 16, ambazo ni malimbikizo ya sehemu ya pesa za zawadi ya bingwa wa ligi kuu ya VODACOM msimu uliopita pamoja na pesa ya zawadi ya golikipa bora wa msimu uliopita YAW BERKO.
HILO NDILO SOKA LA BONGO!!!!

Kweli Dauda hili ndilo soka la bongo jamani vituko sana, lakini tuangalia kitu kimoja je hili jambo lina uhalali wowote kabisa?muda mwingine tusipende laumu kama ni la kiutaratibu wanayo haki ya kudai kabisa.lla naomba wasigome kuingia uwanjani sababu nasikia kuna mtu kashafazili mechi tayari.Yote maisha tutafika
ReplyDelete