KLABU YA AZAM FC JANA ILISHINDWA KUENDELEZA UBABE KATIKA MECHI ZA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA BAADA YA KUTOKA NA SARE NA VICTORS FC KATIKA UWANJA WA MANDELA JIJINI KAMPALA. - UGANDA.MANAODHA WA TIMU ZOTE WAKIWA NA WAAMUZI WA TIMU WA MCHEZO HUO.
MSAHAMBULIAJI WA AZAM JOHN BOCCO AKIPAMBANA NA BEKI WA VICTORS FC
MRISHO NGASSA AKIWAPELEKA PUTA MABEKI WA TIMU VICTORS FC KATIKA MCHEZO HUO JANA ABDULHALIM HUMUD WA AZAM AKIWANIA MPIRA WA MCHEZAJI WA VICTORS FC
No comments:
Post a Comment