pamoja na familia ya wabongo wanaoishi South Africa, hapa tulikua tunaelekea uwanjani.
kutoka kushoto ni Imani Kajula, Wazir Barnabas ( Mendieta ),Shaffih Dauda, Ally Kiluvia na Said Kambi. hapa watu washapiliza sana MAVUVUZELA
Hatimaye tarehe kama ya leo mwaka jana niliweza kuandika historia kwenye maisha yangu pale ndoto yangu ya kushuhudia mchezo wa kombe la dunia ilipotimia.
ulikua mchezo kati ya Cameroon na Denmark kwenye dimba la Loftus Versfeld,Pretoria.
No comments:
Post a Comment