Search This Blog

Saturday, June 18, 2011

ON THIS DAY: WOZA 10

Hakuna siku ambayo kocha wa England Fabio Capello hataisahau kwenye maisha yake kama siku ya leo.

1) leo ni siku yake ya kuzaliwa ametimiza miaka 64- HAPPY BIRTHDAY CAPELLO
2) Mwaka jana siku kama ya leo alikua anasherehekea miaka 63 ya kuzaliwa kwake lakini pia alikua anakiongoza kikosi cha England kwenye mchezo dhidi ya Algeria kwenye WOZA 2010.
ENGLAND ilishindwa kuifunga ALGERIA na mchezo huo ukamalizika kwa timu hizo kushindwa kufungana.






No comments:

Post a Comment