Search This Blog

Tuesday, June 7, 2011

MAHOJIANO NA KIPA WA ZAMANI WA NIGERIA,PETER RUFAI

hapa cameraman wa SPORTS BAR ya CLOUDS TV mr Juma Kutunda akiwa
mzigoni.....fuatilia sports bar kila jumatatu umsikie Peter Rufai alivyofunguka.





Peter Rufai akiwa na mmoja wa waandaaji wa SPORTS BAR, Geofrey Lea




hapa nikiwa na Peter Rufai pia EXCLUSIVE INTERVIEW hii utaipata



kwenye jarida la NUMBER 10 toleo lijalo.





Aiseee hili jarida ni zuri sana...linapatikana kwenye lugha ya kiswahili tu?




nashukuru sana na karibu sana kwetu nigeria,


Kipa wa zamani wa kimataifa wa Super Eagles ambayo ni timu ya taifa ya Nigeria Peter Rufai alifanya mahojiano na kituo cha televisheni cha Clouds pamoja na jarida la Number 10 ambako alifunguka na kutueleza mambo mbalimbali kuhusu maisha yake ya soka pamoja na maisha binafsi . Ebwana eeh jamaa alitupa stori heavy kupita maelezo na kupitia interview hii tuligundua kuwa DODO MASTER kama anavyofahamika huko kwao Nigeria ni mmoja kati ya wanasoka wasomi barani Afrika ...








No comments:

Post a Comment