Search This Blog

Thursday, June 23, 2011

LUNYAMILA ANATOKA UJERUMANI KUJA KUMUUA SIMBA!

Winga hatari wa zamani klabu ya Dar es salaam Young Africans Edibily Jonas Lunyamila, akimtoka beki wa zamani wa Simba Mathias Mulumba, katika mchezo wa fainali ya kombe la Hedex kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza katika miaka ya tisini, na hii ilikuwa ni muda mfupi baada ya Lunyamila kutua nchini toka nchini Ujerumani alikokuwa amekwenda kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa, na siku hii akiwapiga Simba moja kati ya mabao mawili na lingine likifungwa na Bakari Malima kufuatia kona ya Lunyamila.

1 comment:

  1. KAKA HONGERA KWA HII KUMBUKUMBU,ILANILIKUWA NA ULIZA MBONA HAUJA WEKA VIDEO ANGALAU HIGHLIGHTS ZA HII MATCH?MAANA NA KUMBUKA NILISHA WAHI KUIONA MATCH HII KUPITIA MOJA YA CHANNEL ZETU ZA NYUMBANI..!!!!

    ReplyDelete