Search This Blog

Thursday, June 23, 2011

KALI YA LEO: Wamesusa!

haaaa! haaaaa! hiyo mipira ni idadi ya magoli waliyojifunga.

Timu Fulani hivi iitwayo Stade Olympique L’Emryne ya huko Madagascar ilijifunga jumla ya mabao 149 katika mechi ya ligi dhidi ya mabingwa AS Adema mwaka 2002,hawa jamaa walikuwa wakitia mpira kimiani mwao kila baada ya gozi kuwekwa kati kisa wanabishia maamuzi yaliyofanyika katika mechi iliyopita!

Sasa mlikuja uwanjani kufanya nini!

1 comment: