
NDOA HIYO ILIFANYIKA KATIKA UKUMBI WA JKT MGULANI, NA ILIHUDHURIWA NA WATU TOFAUTI, NDUGU,JAMAA, MARAFIKI WAKIWEMO WACHEZAJI WA TIMU YA YANGA,AZAM NA SIMBA.
MAMA NSAJIGWA

BABA YAKE NA SHEDRACK NSAJIGWA AKIWA KATIKA POZI

BAADHI YA WACHEZAJI NA VIONGOZI WA YANGA WAKIPIGA PICHA NA MAHARUSI

KIUNGO WA YANGA NA TAIFA STARS GODFREY BONY YEYE ALIKUWA UPANDE WA KAMATI YA VINYWAJI

JUMA KASEJA NA MOHAMED BANKA 'FIGO; WALIIWAKILISHA SIMBA

MSHAMBULIAJI WA AZAM MRISHO NGASSA AKILISAKATA RHUMBA NA JAMAL RWAMBO KAMANDA WA POLISI

BWANA HARUSI NSAJIGWA AKIMPA ZAWADI MKURUGENZI WA MAWASILIANO WA KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI,TEDDY MAPUNDA AMBAYE PIA ALIKUA MTENGENEZAJI WA KEKI HIYO YA HARUSI.

NSAJIGWA NA MKEWE WAKICHEZA PAMOJA NA NGASSA

MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA SALVATORY EDWARD AKIWA NA OMEGA SEME NA CANAVARRO

WANANDOA WAKIPATA MSOSI

JUMA KASEJA AKIWAPONGEZA BIBI NA BWANA HARUSI

FREDY MBUNA AKIWA NA MKEWE PAMOJA NA BWANA HARUSI NA MOHAMED BANKA

WASIMAMIZI WA BWANA HARUSI, KIGGI MAKASSY, NGASSA NA OMEGA

WACHEZAJI WA YANGA PIUS KISAMBALE, NURDIN BAKARI NA DAVIS MWAPE WALIKUJA KUMSAPOTI NAHODHA WAO
hongera nahodha wa taifa stars
ReplyDelete