Search This Blog

Tuesday, May 17, 2011

INTERVIEW NA SAMATTA AKIWA LUBUMBASHI



SHAFFIH-nasikia upo njiani kuja kwenye mazoezi ya Simba kujiandaa na mchezo dhidi ya wydad Casablanca

SAMATTA-kwa mara ya kwanza leo nitaanza rasmi mazoezi na kikosi cha TP MAZEMBE, kuhusu kuja simba kwa ajili ya mchezo dhidi ya wydad casablanca sidhani kama viongozi wataniruhusu.-

SHAFFIH- je wewe kwa upande wako upo tayari kuja ?
Mbwana SAMATTA-NASIKILIZIA MAWASILIANO YA KLABU ZOTE MBILI HASA TAARIFA NTAKAYOPEWA NA TP MAZEMBE WENYEWE KAMA NIRUDI AMA LA.

Shaffih dauda- kuna taarifa ya kwamba uongozi wa TP umeridhia urudi kucheza huo mchezo,vipi kuna ukweli ndani yake ?
Mbwana samatta-SIJAJUA,LAKINI HATA MIMI SIMBA WALINIAMBIA NIMERUHUSIWA LAKINI NILIPOFANYA MAWASILIANO HUKU WAKASEMA HAKUNA KITU KAMA HICHO NDO MAANA NIKAAMUA KUJA HUKU LUBUMBASHI.ILA KAMA NIKIPATA RUHUSA NTAKUJA KUCHEZA.
SHAFFIH DAUDA-Lini umekwenda huko Lubumbashi?
Jana ndo nimekuja huku anko.

1 comment:

  1. Club: Almighty mazembe ya Lubumbashi (zamani-TP englebert) iliyoanzishwa:1939
    nitimu kubwa ambayo inahistoria yakushinda
    National Champion/ Winner national League: 1966-67, 1969, 1976, 1987, 2000, 2001, 2006, 2007, 2009 · national cup/ Winner Cup: 1966-67, 1976, 1979 · African Cup of champions clubs/ African Champions Cup: 1972 -asemi-finalist/semi-finaliste ; 1969 , 1970 -- finalist/runner up; 1967, 1968 -- winner/winner Cup winners cup/cup winners Cup: 1980, winner/winner-Champions League for the cif/ CIF Champion's League (New formula since 2009) : 2009 (winner) . Champions League for the cif/ CIF Champion's League: 2010 (winner, Double with 2009) . Vice world champion at the world cup for the FIFA club, Abu Dhabi 2010 . Super Cup for the CIF: 2010 and 2011 (winner)Nampa pongezi SAMATTA nahuo nimwanzo wamafanikio aitumie vizuri hiyo nafasi.

    ReplyDelete