AC Milan, ambao waliweza kuingia raundi ya pili tu, wenyewe waliingiza kiasi cha €51.4 million mbele ya miamba ya Hispania Real Madrid (48.4m) na Barcelona (45.5m) miamba ya Ufaransa Paris Saint-Germain (44.7m).
Pamoja na kufanya vibaya kwenye michuano hiyo lakini pia timu za England safari hii zimeshuka sana kwenye kuingiza fedha nyingi - mabingwa wa nchi hiyo Manchester United ndio wamewaongoza wenzao kwa kuingiza €35.6 million.
Timu ambayo imeingiza fedha kidogo kabisa ilikuwa ni Dynamo Zagreb waliingiza kiasi cha €10.5 million.