Unaweza kuangalia mechi ya Al Ahly vs Yanga kupitia hiyo link hapo chini - pia mtandao huu utakuletea live updates katika kila kitakachokuwa kikitokea uwanjani.
http://live2sport.com/al-ahly-sc-vs-young-africans-mar-09-2014-live-stream-score-prediction/
leo tunatoka suluhu ya 1-1
ReplyDeleteHpna, leo 2nashnda bao moja au suluhu ya 0-0
ReplyDeletePoleni yanga! bado mmeshindwa kuzifikia records za simba..
ReplyDeleteKnocking out Arabs is not an easy task.. welcome home mziandalie wiki oljoro jkt
Rekodi Ipi ya simba? Ile ya Harrass Al Hadood 5 simba 0 Mara ya mwisho kucheza na timu toka misri au? Tena nakumbuka ilikua ni katika uwanja huu huu aliocheza yanga na mabingwa wa Africa juzi
DeleteHivi Simba wameshawahi kuwatoa Al Ahly?hiyo rekodi wanayoisema ni ipi?Ninavyojua mimi rekodi ni kuchukua kombe,sasa hii rekodi ya Simba ni ipi manake kama ni kuifunga timu ya Misri tayari Yanga wameshafanya hivyo.Tutafute rekodi za maana sio hizi sifa za kijinga.Mwakani simba watashiriki mtani jembe wakati yanga na azam wanashiriki tena mechi za kimataifa na simba waje kung'oa viti
ReplyDeleteTanzania bado tuna safari ndefu kwenye soka
ReplyDeleteSafari hii Yanga imejitahidi Sana, haijatoka kwa Mdebwedo!
ReplyDeletesimba c tu imeshawahi kuwafunga waaarabu wakiwepo wa misri mara tele! bali pia kuwatoa mashindanni kabisa! wakiwepo waliokuwa mabingwa watetezi ZAMALEK
ReplyDeletesimba c tu imeshawahi kuwafunga waaarabu wakiwepo wa misri mara tele! bali pia kuwatoa mashindanni kabisa! wakiwepo waliokuwa mabingwa watetezi ZAMALEK
ReplyDelete