Search This Blog

Sunday, June 24, 2012

YANGA WAJIFUA KATIKA UFUKWE WA COCO KWA AJILI YA MAANDALI YA KAGAME CUP

 Kifaa kipya cha Yanga, Kelvi Yondani
Mshambuliaji mpya wa Yanga, Simon Msuva (mbele) akiwaongoza wenzake katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika kwenye fukwe za Coco jijini Dar es Salaam jana. Wanaomfuatia ni beki mpya wa klabu hiyo,  Kelvin Yondani na Godfrey Taita. (Picha zote na Mpiga Picha wa Habari Mseto Blog).
 Nurdin Bakari akijifua.
Baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiwa katika mazoezi.

Wachezaji wa Yanga wakiwa katika mazoezi mepesi ya kujiandsaa na mashindano ya Kagame Cup  yanayotarajiwa kuanza Julai 14 jijini Dar es Salaam.
 Nizar Khalfan akiwa katika mazoezi na timu yake mpya ya Yanga katika ufukwe wa Coco Oysterbay jijini Dar es salaam.

TIMU ZA MWANZA ZAIBUKA KIDEDEA DHIDI YA BUKOBA MBELE YA MKUU WA MKOA MH. MASSAWE-Mwanza Veteran yaichapa Bukoba Veteran 1-0 na kwa UPANDE wa Netball Mwanza mwanzo mwisho Washinda 11-10!!!!


Wachezaji wa timu ya Mwanza Veteran.
Picha ya pamoja wachezaji wa Mwanza Veteran na Bukoba Veteran,katikati anaonekana Fumo Felician
 Mgeni rasmi Mh. Mkuu wa Mkoa akisalimiana na kaka mkuu mchezaji wa Bukoba Veteran


Kushoto ni Hussein Said na  Sadi Iddy .

Mapema ulitangulia mchezo wa Netball kati ya Mwanza na Bukoba  na Timu ya mwanza kuibuka kidedea kwa magoli 11-10.

HUYU NDO BEKI MPYA WA SIMBA.

Makamu mwenyekiti wa Simba Sc Godfrey Nyange (shoto ) akiwa na beki mpya wa timu hiyo MASOMBO LINO mara tu baada ya kusaini mkataba.

WAZO LA EDO KUMWEMBE!

Congrats Yanga kwa kumnasa Yondani. lakini ebu tutumie akili ya kuzaliwa hapa. Itazame vizuri sehemu ya kuchezea ya uwanja wa Kaunda. Hapana shaka ni Duni. Kev amesajiliwa zaidi ya sh milioni 30. Ni kama ilivyo kwa mastaa wengine wapya waliotua Yanga. Kwa nini isitengwe sh milioni 2 tu ya kuitengeneza sehemu ya kuchezea ya uwanja wa Kaunda, plus pump za kumwagilia uwanja full time na ikiwezekana Kisima. hivi vyote vinagharimu pesa ndogo sana kuliko mamilion ya kuwanunua akina Kev. inakera kuona kocha anakuja na kuipeleka Yanga mazoezini kwingineko kwa gharama kubwa, wakati milioni 5 inamaliza tatizo la pitch la Kaunda. mbona players wanamwagiwa pesa nyingi tu bila ya shida? WAZO TU

EXCLUSIVE: HII NDIO YANGA KIDS: WASIKILIZE WACHEZAJI WAKE







USAILI EPIQ BONGO STAR SEARCH ULIVYOFANA NGOME KONGWE ZANZIBAR

MSHIRIKI MMOJA AKIWACHANGAMSHA WENZAKE

WASHIRIKI WAWILI WAKITUPA FLEVA KIDOGO

WASHIRIKI WAKIPIGA SOGA

 MASTER JAY AKIMPA MKONO MPIGA PICHA MMOJA

 MSHIRIKI AKIJARIBU KUPIGA NGOMA

WATOTO WALIOKUJA KUWAPA WASHIRIKI BURUDANI

XABI ALONSO AIUA UFARANSA: APIGA GOLI - KUCHEZA NA URENO NUSU FAINALI


Xabi Alonso Goal vs France Euro 2012 23-06-12 by kofiswag

UZINDUZI WA MOVIE YA WEMA SEPETU WATISHA - OMOTOLA AWASILI NCHINI ALFAJIRI

Wema Sepetu "Superstar"
                         
Chalz Baba na Steve Nyerere walikuwepo kutoa sapoti kwa msanii mwenzao

Vijana kutoka mjengoni nao walihudhuria
Barnaba akiwa na Dida, Shilole na Mainda




Wanamuziki AY na MwanaFA walikuwa ni baadhi ya wasanii wachache wa Bongo Fleva waliobahatika kuwepo kwenye usiku wa Wema Sepetu

Miriam Odemba akifanyiwa interview na Shadee

Shaa akifanyiwa mahojiano na Shadee wa Clouds TV

Mwanamuziki Shaa nae alikuwepo

Ray Kigosi na Richie walikuja kumsapoti Wema
Wema Sepetu akiwa na Mange Kimambe na Miriamu Odemba wakimsubiri Omotola Jalade kutoka Nigeria uwanja ndege Mwalimu JK Nyerere.
Mgeni akawasili - Mwigizaji wa Nigeria Omotola Jalade akiwasili uwanja wa ndege wa JK Nyerere alfajiri hii.

Wema Sepetu na Omotola wakiondoka Uwanja wa Ndege baada ya Omotola kuwasili kutoka Nigeria.

Omotola akiwa na Miriam Odemba



KAZI NA DAWA! BIBI BOMBA WATINGA NDANI YA MAISHA CLUB NA KUACHA GUMZO KWA WAGENI WAALIKWA

 Bibi Bomba ni show iliyoanza hivi karibuni na baada ya kuwatafuta mabibi hao wamewekwa wote kwanye jumba la pamoja na mwisho wa shindano atachaguliwa bibi mmoja mkali na aliye Bomba kuwazidi wenzake. Pichani ni msanii wa Bongo Fleva Bob Junior aliwatembelea mabibi hao.

 Babuu wa Kitaa ndio Host wa kipindi hicho cha Bibi Bomba kinachorushwa na Clouds TV pichani akiwa anacheza mziki na mabibi hao.

 Ben Kinyaiya alikuwepo na alifungua shampen kwa mabibi zetu hao

 Hapa bwana hakuna mtu aliamini kama mabibi hao wanajua kuimba vizuri hadi wengine kutumbua mijicho kama ndugu yangu Ben pale hahahaa

safiii
 
SOURCE:http: djchoka.blogspot.com/