Wema Sepetu "Superstar" |
Chalz Baba na Steve Nyerere walikuwepo kutoa sapoti kwa msanii mwenzao |
Vijana kutoka mjengoni nao walihudhuria |
![]() |
Barnaba akiwa na Dida, Shilole na Mainda |
![]() |
![]() |
Wanamuziki AY na MwanaFA walikuwa ni baadhi ya wasanii wachache wa Bongo Fleva waliobahatika kuwepo kwenye usiku wa Wema Sepetu |
![]() |
Miriam Odemba akifanyiwa interview na Shadee |
![]() |
Shaa akifanyiwa mahojiano na Shadee wa Clouds TV |
![]() |
Mwanamuziki Shaa nae alikuwepo |
![]() |
Ray Kigosi na Richie walikuja kumsapoti Wema |
![]() |
Wema Sepetu akiwa na Mange Kimambe na Miriamu Odemba wakimsubiri Omotola Jalade kutoka Nigeria uwanja ndege Mwalimu JK Nyerere. |
![]() |
Mgeni akawasili - Mwigizaji wa Nigeria Omotola Jalade akiwasili uwanja wa ndege wa JK Nyerere alfajiri hii. |
![]() |
Wema Sepetu na Omotola wakiondoka Uwanja wa Ndege baada ya Omotola kuwasili kutoka Nigeria. |
![]() |
Omotola akiwa na Miriam Odemba |
No comments:
Post a Comment