HONGERA BRO SHAFFIH KWA KAZI NZURI. ILA KIDOGOKIDOGO UNAAZA KUTUKIMBIA KWA KILE WENGI WAPENDA SOKA TULICHOTARAJI. WEWE NI MCHAMBUZI NGULI WA SOKA NACHOKUSHAURI KAMA SI OMBI, HAYA MAMBO MENGINE YA KUJAZA SURA ZA WAREMBO MARA BONGO FLAVA, HEBU KAMA SI KUZIACHA KABISA BASI PUNGUZA,WADAU ZINATUPA MALARIA TU, TUNAHITAJI MAMBO YA SOKA BABA..WAACHIE WENGINE WENYEVIPAJI NAVYO KATIKA HAYO MAMBO. WEWE NI MTOTO NA NI MJUKUU WA SOKA.. RUDI NYMBANI KAKA!

ReplyDelete