Na baada ya kushinda mechi 14 tangu msimu mpya uanze jana jumapili katika dimba lile lile alioshinda mchezo wa kwanza, Jose Mourinho aliiongoza Chelsea kuifumua Manchester United 3-1 na kufikisha ushindi wa 15 katika ligi msimu huu na ushindi wa mechi 100 tangu alipoanza kufundisha soka nchini England.
Mechi ya ushindi wa kwanza wa Mourinho katika premier league |
THE 100 CLUB
MANAGER | PREMIER LEAGUE WINS |
---|---|
Sir Alex Ferguson | 528 |
Arsene Wenger | 383 |
Harry Redknapp | 231 |
David Moyes | 184 |
Rafael Benitez | 141 |
Martin O'Neill | 130 |
Sam Allardyce | 129 |
Gerard Houllier | 122 |
Kevin Keegan | 116 |
Kenny Dalglish | 115 |
David O'Leary | 112 |
Alan Curbishley | 108 |
Mark Hughes | 102 |
George Graham | 101 |
Jose Mourinho | 100 |
Redknapp, David Moyes, Rafael Benitez, Martin O'neal, Sam Alladyce, Gerard Houllier, Kevin Keegan, Kenny Dalglish, David O'leary, George Graham, Mark Hughes,na Alan Curbshley kwenye listi ya makocha waliotimiza idadi ya ushindi wa mechi 100 au zaidi katika historia ya premier league.
Lakini Mourinho anawazidi wenzie kwa kuwa amefikisha idadi ya ushindi wa mechi hizo katika michezo michache (142) ukilinganisha na anayeongoza kwa kushinda mechi nyingi Sir Alex Ferguson ambaye alitimiza idadi ya ushindi wa mechi za premier league katika jumla ya michezo 162.
No comments:
Post a Comment