Kwanza kabisa jana wameleta mangumashi sana mtu una tiketi ya vip B unafika eti pamejaa, patajaaje wakati tiketi mmeuza kwa idadi ya viti unaelekezwa kwa kwenda kukaa kwa elfu 10000 afu unakaa kwenye ngazi , afu mapato sijui watasema madogo uwanja ulijaa wanakera sana unaangalia mpira kwa tabu sana yani
USISAHAU KUWA HATA MAJNA TIMU TAIFA STAS YALIKUWA YALE YALIOCHEZA NA MOROCCO,PIA BENDERA YA TAIFA ILIOSHA NA CHAFU IKIBADILISHWA KUTOKANA NA KELELE ZA MASHABIKI.HAYA YOTE NI MAGUMASHI!
Dah! hatari..kila kitu magumashi Bongo.
ReplyDeleteNa ukijaribu kufuatilia, utagundua hakuna sabbu ya msingi zaidi ya uzembe.
Kwanza kabisa jana wameleta mangumashi sana mtu una tiketi ya vip B unafika eti pamejaa, patajaaje wakati tiketi mmeuza kwa idadi ya viti unaelekezwa kwa kwenda kukaa kwa elfu 10000 afu unakaa kwenye ngazi , afu mapato sijui watasema madogo uwanja ulijaa wanakera sana unaangalia mpira kwa tabu sana yani
ReplyDeleteUSISAHAU KUWA HATA MAJNA TIMU TAIFA STAS YALIKUWA YALE YALIOCHEZA NA MOROCCO,PIA BENDERA YA TAIFA ILIOSHA NA CHAFU IKIBADILISHWA KUTOKANA NA KELELE ZA MASHABIKI.HAYA YOTE NI MAGUMASHI!
ReplyDeleteha aha bongo hiyo kila kitu uji uji tu
ReplyDeleteAahh kumbe tulibugi mapema.Kipigo kilionekana mapema!!!!
ReplyDelete